Home »
michezo ulaya
» KALI YA LEO: JONJO SHELVEY AWEKA REKODI - AHUSIKA NA UTENGENZWAJI WA MABAO YOTE MANNE YA KATI SARE YA 2-2 KATI YA LIVERPOOL VS SWANSEA - USHAHIDI WA PICHA ZA MNATO
KALI YA LEO: JONJO SHELVEY AWEKA REKODI - AHUSIKA NA UTENGENZWAJI WA MABAO YOTE MANNE YA KATI SARE YA 2-2 KATI YA LIVERPOOL VS SWANSEA - USHAHIDI WA PICHA ZA MNATO
Written By Unknown on Wednesday, 18 September 2013 | Wednesday, September 18, 2013
Mchezaji
Jonjo Shelvey usiku wa Jumatatu ulikuwa wa aina yake kwa upande wake
baada ya kuhusika na ufungwaji wa mabao yote manne katika mchezo wa sare
ya 2-2 kati ya Swansea dhidi ya timu yake ya zamani ya Liverpool. Hapo
juu tunaona Jonjo akifunga bao zuri katika dakika ya 3 tu ya mchezo,
lakini ya muda
........................................................... akachomesha
bao la kusawazisha la Liverpool kama unavyoona hapo chini
Mabao yote hayo mawili
hapo juu yalifungwa katika kipindi cha dakika 5 za mwanzo, lakini baada
ya muda kidogo akampa assist Victor Moses wa Liverpool aliyefunga bao la
kuiweka timu yake mbele dhidi ya Swansea.
Hakusihia hapo Jonjo akaswazisha makosa yake kwa kumtengenezea Michu goli la kusawazisha la Liverpoool.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!