Msanii kutoka kundi la Tip Top Connection “Madee” ametoa shukrani zake
kwa Mungu kwa kufanikisha ujenzi wa nyumba yake iliyopo Mbezi ya
Kimara,jijini Dar -Es-Salaam.
Msanii huyo alisema maneno haya na kupost hii picha na kusema maneno haya
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!