Home »
burudani
» WAKATI DIAMOND AKIWACHIMBA BEAT WASANII WA BONGOFLEVA, OMMY DIMPOZ YUPO NA MWANADADA RAY C WAKIFANYA YAO. SOMA HAPA
WAKATI DIAMOND AKIWACHIMBA BEAT WASANII WA BONGOFLEVA, OMMY DIMPOZ YUPO NA MWANADADA RAY C WAKIFANYA YAO. SOMA HAPA
Written By Gody Godwin on Thursday, 12 September 2013 | Thursday, September 12, 2013
Staa
wa Ngoma ya Tupogo,Omary Nyembo,‘Ommy Dimpoz’na nguli wa muziki wa
Bongo Fleva,Rehema Chalamila‘Ray C’wanatarajia kuachia ngoma yao? baada
ya kupiga picha pamoja. Ommy
Dimpoz alipost picha hicha hiyo kupitia mtandao wa instagram huku
akiandika Studio Flowwww wit the Legendary her self ...Kiuno bila
Mfupa...Huku mashabiki wao wakisema kuwa… haya madimpoziii poz na kiuno bila kidari..
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!