Mwanamitindo
Hamisa Hassan Mobeto ameamua kupuuza habari zinazo daiwa na kuzushwa
na Mwanamuzika Nasibu Abdul Jumaa "Diamond Platnumz" na genge lake kuwa
ana uhusiano wa siri wa kimapenzi na mwanamuziki huyo huyo anaye vuma
kwa skendo za mapenzi na mabinti wenye umaarufu nchini Tanzania.
Mrembo Hamissa Hassan Mobeto |
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!