Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » HATIMAYE RAIS WA A/KUSINI MZEE JACOB ZUMA AMERUHUSIWA KUTOKA AKIWA MWENYE AFYA TOSHA

HATIMAYE RAIS WA A/KUSINI MZEE JACOB ZUMA AMERUHUSIWA KUTOKA AKIWA MWENYE AFYA TOSHA

Written By Unknown on Monday 9 June 2014 | Monday, June 09, 2014


Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini, ameruhusiwa kutoka hospitalini alipokuwa amelazwa kwa ajili ya kufanyiwa vipimo maalumu kuhusiana na afya yake. Kwa mujibu wa ikulu ya rais, Zuma alilazwa kwa masaa machache hapo jana akifanyiwa vipimo juu vya afya yake ambapo baada ya madaktari kuridhika na afya ya kiongozi huyo wa Afrika Kusini, wamemruhusu kurejea nyumbani. 
Hapa ni wakati akipelekwa Hospitalini,aliyo wai kutunziwa eko Mzee Mandela
Inaelezwa kuwa kila mwaka Rais Zuma huwa akipima afya yake mwezi Januari na Juni, lakini mara hii madaktari walimtaka alazwe kabisa ili aweze kufanyiwa vipimo vya mwili wake wote. Aidha imeelezwa kuwa, Zuma alipatwa na mchoko wa kupita kiasi baada ya kumalizika kwa zoezi la uchaguzi wa bunge wa hivi karibuni, suala ambalo liliwafanya wanachama wa chama chake cha ANC kumtaka apumzike sambamba na kupima afya yake. Rais Jacob Zuma mwenye umri wa miaka 72 aliapishwa kuwa rais wa Afrika Kusini mwezi uliopita baada ya chama chake kupata asilimia 62 ya kura katika uchaguzi huo.

1
MUSIC CATEGORIES

Best Male:

Anselmo Ralph (Angola)
Davido (Nigeria)  WINNER
Diamond (Tanzania)
Donald (South Africa)
Wizkid (Nigeria)
- See more at: http://www.kengete.com/2014/06/live-kutoka-kwazulu-natal-washindi-wa.html#sthash.21boLLEC.dpuf
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi