Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » JUSTINE BIEBER AFURAHIA KUVUTA BANGI

JUSTINE BIEBER AFURAHIA KUVUTA BANGI

Written By Unknown on Wednesday, 18 September 2013 | Wednesday, September 18, 2013

.
KINDA wa muziki wa Pop Justine Bieber kwa nyingine amedai kuwa hakuna kitu ambacho kinampa raha kama kuvuta bangi.

Bieber aliyasema hayo nchini kwao Canada katika kituo kimoja cha televisheni ambapo mtangazaji alitaka kujua kama ni kweli anatumia kilevi hivyo.

Bila ya hata uwoga Bieber alimua kufunguka," Napenda kuvuta kwa kuwa ndio starehe ambayo inanipa raha kuliko vyote."

Hii ni mara ya pili katika nchi tofauti kwa kijana huyu ambaye yupo katika kilele cha mafanikio kukiri kutumia bangi.

Lakini watu wameonekana kuwa na mtazamo tofauti nchini kwao, huku wengi wakidai kipindi hicho kitachangia kuharibu watoto wengine kutokana na kutaka kuiga.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi