| . |
Mahusiano ya hawa wawili yametoka tangu wakiwa high school na harusi yao ilihudhuriwa na baadhi ya watu wao wa karibu kama Dwayne Wade,Gabrielle Union,Chris Bosh na kubwa zaidi Jay Z na Beyonce waliperform wimbo wa “Crazy in Love”
| . |
| Chris Bosh akiwa tayari kwenda kwenye harusi |


0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!