UTAMUELEWAJE JOHN
joni alimtembelea galfrend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla jioni ile bado akiwa kwa girlfriend wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa binti walipoona hali hiyo ya hewa wakamshauri joni alale pale kwao. Baba alienda chumbani, mama alipeleka vyombo jikoni na binti alienda kutayarisha chumba cha Mgeni (John ) na kumwacha joni sebuleni. Baada ya shughuli zao waliporudi sebuleni hawakumkuta joni. Walimtafuta kila kona ya nyumba bila mafanikio. Mara ghafla walimwona joni amerudi kabeba mfuko mweusi akiwa amelowa chepechepe. Walipomuuliza kulikoni? Aliwajibu ''nimeenda nyumbani chapu chap kuchukua nguo za kulala''

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!