Siku mbili zimepita tangu, mfalme na malkia wa drama Bongo, Diamond
Platnumz na Wema Sepetu wakinukishe tena. Hakuna kipya zaidi ya nini
kimeendelea baada ya kusambaa kwa picha za Diamond na Wema wakila raha
Hong Kong.
Lakini, la uhakika ni kuwa, kwa sasa kuna mpasuko mkubwa katika kambi
zao. Story za mtaani ambazo binafsi Ismailniyonkuru.info haijaweza kuzithibitisha ni
kuwa, kuna ugomvi mkubwa kati ya Wema Sepetu na mwanaume anayedaiwa kuwa
ni mpenzi wake wa sasa.
Labda kuku update tu ni kuwa baada ya Wema Sepetu kuachana na Diamond, ama
tuseme baada ya wapenzi hao kupumzika kuwa pamoja kwa muda, Wema Sepetu
aliendelea na maisha yake na ofcourse alipata mwanaume mwingine ambaye
hajawahi kujulikana wazi ni nani. Diamond pia aliendelea na maisha yake
na kuanzisha uhusiano na Penny.
Lakini, mitaa inasema kuwa wawili hao walikuwa wakiendelea kumegana
kisela. Ndio maana yale maongezi yao ya simu yalivuja, ikiwa ni ishara
kuwa walikuwa bado na mawasiliano mazuri. So mitaa inasema, jamaa
anayesemekana kutoka na Wema kwa sasa, amemind vibaya mno, na tangu
kusambaa kwa picha hizo, hakuna amani tena.
Picha hizo zilimaanisha kuwa, Penny hakuwa muathirika pekee wa picha
hizo, bali pia Wema ameuvunja moyo wa mwanaume anayedaiwa kumpenda kwa
dhati. Mashemeji na mawifi nao wametengeneza kambi zao, Team Penny vs
Team Wema.
Nini kinaendelea sasa?
So far, hakuna kipya cha kuthibitisha, ukizingatia kuwa hakuna hata
mmoja kati yao ameshaongea japo itafika siku wataongea, siku ambayo
watakuwa wamepata maelezo mazuri ya kuushawishi umma kuhusu kile Diamond
anakiita filamu.
Lakini kwa kutazama picha za Instagram za watatu hao, Diamond, Wema na
Penny, maisha yanaendelea na wote wanaonekana wapo vizuri, kama hakuna
kilichotokea japo kile ukionacho kwenye mitandao ya kijamii, ni tofauti
kabisa na hali halisi.
Diamond
Kwa siku hizi mbili, Diamond amekuwa akipost picha za bling bling tu, akifanya shopping za nguo na vitu vingine vya gharama.
Wema
Kwa mujibu wa kile alichokiandika kwenye moja ya picha zake za jana, Wema amefiwa na babu yake.
“We loved you, we love you and will always love you…. it hurts to lose
such a character, you were a man of god.. always taught us how to abide
by da rules of Allah… Today u are gone and it kills me inside to know
dat I will nat see you again but there is a relief in me dat you are now
in a better place… with da angels… because even if we couldnt see dem,
but they were always around you…. I love you my babu… il aleays remember
you wit your saying “babu kababuka” … oh my God it hurts…. You are
always going to live in our hearts…. Rest In Eternal Peace Mzee Athmann
Sumbe… im sure you are now smiling and sooo happy werever you are… A man
wit a pure soul ryt here,” ameandika.
Picha nyingine inamuonesha akiwa na simu ile ile aliyopiga nayo Diamond
kwenye picha zake. Inaonekana wana simu ya aina moja, Samsung nyeusi.
Penny
Penny na Wakazi, juzi usiku DTV
Penny anaonekana yuko poa, walau kwa picha iliyowekwa na rapper Wakazi
kwenye Instagram ikimuonesha akicheza muziki kwa furaha, like nothing
happened.
“I had a blast last night on the XTreme Show on DTV with baby girl
@vjpenny04 & DJ Pack. Thank you so much for those who watched the
show and I hope you enjoyed as much as we did.,” aliandika Wakazi kwenye
picha hiyo. Ama hiki ndio kama kile John Legend alikiimba kwenye
Dancing The Pain Away.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!