Home »
mapenzi
» HELP:NATARAJIA KUFUNGA NDOA NA NINAHISI SINA BIKIRA KABISA ILA SIJAWAHI FANYA MAPENZI..
HELP:NATARAJIA KUFUNGA NDOA NA NINAHISI SINA BIKIRA KABISA ILA SIJAWAHI FANYA MAPENZI..
Hi... Kuna dada yetu anaomba ushauri
wenu. Yeye ni msichana mwenye umri wa miaka 22 ana mchumba na karibuni
wanatarajia kufunga ndoa. Wasiwasi wake ni kwamba anahisi kama yeye sio
bikra, na yeye hajawahi kufanya tendo la ndoa na mwanaume yeyote. Ila ni
mara nyingi anakua anameet na mchumba wake wanafanya kissing, yani
kunyonyana midomo, wanapapasana sehemu zao za siri lakini kila mmoja
akiwa amevaa nguo zake kamili. Wanafanya hayo yote ila hawajawahi
kukutana kimwili kufanya tendo la ndoa. Anauliza jee kufanya hayo yote
yanaweza kumfanya kupoteza ubikira wake bila ya kufanya tendo lenyewe?
Na jee ni sababu zipi zinazomfanya msichana kupoteza ubikira wake?
Anaomba ushauri wenu. Shukrani
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!