Timu ya wanawake ya mpira wa kikapu ya nchini Marekani Minnesota Lynx
mnamo usiku wa Alhamisi ilifanikiwa kutwaa taji lao la pili la WNBA
championship ndani ya miaka mitatu, ubingwa uliotokana na jitihada kubwa
kutoka kwa mwanadada mwenye miaka 31, aitwaye Rebekkah Brunson ambaye
alikuwa akicheza fainali hiyo huku akiwa na mimba ya miezi nane.
Rebekkah Brunson na Mimba ya Miezi Nane |
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!