Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » Jordin Sparks adai matatizo yaliimarisha uhusiano wake na Jason Derulo

Jordin Sparks adai matatizo yaliimarisha uhusiano wake na Jason Derulo

Written By Unknown on Monday, 14 October 2013 | Monday, October 14, 2013

Muimbaji na mshindi wa zamani wa American Idol,
Jordin Sparks adai matatizo yaliimarisha uhusiano wake na Jason Derulo
.
Jordin Sparks amesema yeye na Jason Derulo wamekuwa na uhusiano tangu mwaka 2011 na tangu hapo hawajawahi kuachana.
Akiongea kwenye kipindi cha "The Queen Latifah Show" wiki iliyopita, muimbaji huyo wa "Skipping A Beat" alizungumzia uhusiano wao na kusema wakati mgumu kikiwemo kifo cha Whitney Houston na ajali aliyopata Derulo viliwaweka karibu zaidi.
"Nilitaka tu kusaidia na nilipokuwa namuona pale nilisema, ndio yupo na mimi,”alisema na kuelezea kipindi Jason alipovunjika shingo wakati alipokuwa akifanya mazoezi.
"We fell in love and he's amazing so, yeah."
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi