Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » Mume Wangu Aliwahi Kuniambia Sikumbusu Mwanaume Vizuri Kwenye Filamu : Mercy

Mume Wangu Aliwahi Kuniambia Sikumbusu Mwanaume Vizuri Kwenye Filamu : Mercy

Written By Unknown on Wednesday, 16 October 2013 | Wednesday, October 16, 2013

Mcheza filamu nyota wa Nollywood, Mercy Aigbe-Gentry, hivi karibuni kwenye mahojiano alizungumzia juu ya vile ambavyo mume wake humchukulia kwa jinsi anavyokuwa kwenye taaluma yake.

Wakati mama huyo mwenye watoto wawili alipoulizwa kuhusu mume vile ambavyo huwa anajisikia wakati mtu anapokuwa akimbusu au kukumbatiwa kwenye failamu Mercy alijibu.

Soma alichosema;

"Sidhani kama anajali, sababu anajua kama ni kitu cha kukutaka kikufanye uamini. Kulikuwa na filamu moja ambayo nilihitajika kumbusu mtu, alipokuwa akiangalia filamu ile aliniambia kwamba sikufanya lile tukio vizuri. Alisema halikufanyika kitaalamu. Kitu ambacho siwezi kukifanya ni kuigiza filamu za utupu''.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi