Producer wa Fish Crab Studios Lamar yuko kwenye shughuli ndefu ya kutengeneza wimbo wa kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya Tanzania. Wimbo huu wenye lengo kuu la kupiga vita Drug Abuse Tanzania utahusisha na kuwa na sauti kumi tofauti za wasanii wa Bongo.
Mpaka sasa wasanii wengine wanaingiza vipande vyao kwenye wimbo huo na kila msanii ana bar nne kwenye wimbo huo so utakuwa na kama dakika 5 na wote watatosha.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!