Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » TUTACHEZA KUFA NAKUPONA ILI TUNYAKUWE PESA HIZO:WACHEZAJI WA MISRI

TUTACHEZA KUFA NAKUPONA ILI TUNYAKUWE PESA HIZO:WACHEZAJI WA MISRI

Written By Unknown on Monday, 14 October 2013 | Monday, October 14, 2013


CHAMA cha Soka cha Misri-EFA kimekubali kutoa kiasi cha dola 43,500 kwa kila mchezaji kama ofa ikiwa watafanikiwa kuwafunga Ghana katika mechi za mikondo miwili ya kufuzu michuano ya Kombe la Dunia mwakani. Tofauti na Ghana ambao watapata kitita cha dola 15,000 kwa kila mchezaji katika mechi watakazoshinda.
Misri wao watapokea kiasi hicho kama wakifanikiwa kufuzu michuano hiyo. Timu zote mbili zimeonyesha kuupania mechi hiyo huku kocha wa Misri Mmarekani Bob Bradley akishauri timu hiyo kusafiri kwenda Ghana siku nne kabla ya wachezaji wazoee hali ya hewa ya huko. Mechi ya mkondo wa kwanza inatarajiwa kupigwa jijini Kumasi katika Uwanja wa Paa Joe Park wakati ile ya mkondo wa pili itachezwa jijini Cairo.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi