Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » VIONGOZI WA DINI WARUHUSU PAKA NA MBWA HALALI KULIWA NCHINI SYRIA

VIONGOZI WA DINI WARUHUSU PAKA NA MBWA HALALI KULIWA NCHINI SYRIA

Written By Unknown on Wednesday, 16 October 2013 | Wednesday, October 16, 2013


Kikundi cha viongozi wa dini nchini Syria kimetoa Fatwa inayowaruhusu watu wanaoishi katika vitongoji vya mji mkuu Damscus vinavyokumbwa na vita kula nyama ambayo kwa kawaida huwa imeharamishwa
.
Kwenye kanda ya video, viongozi hao walisema kuwa watu wanaokumbwa na njaa wanaweza kula nyama ya Paka,Mbwa na Punda.
Fatwa hiyo imetolewa huku kukiwa na ripoti za watu kukumbwa na njaa katika kitongoji cha Muadhamiya mjini Damsacus moja ya vitongoji vilivyotekwa na waasi

Mashirika ya misaada yameitaka serikali kuruhusu misaada ya kibinadamu kupelekwa katika eneo hilo , ambako wenyeji wamekwama.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi