Baada ya Huddah Monroe kuonekana kutokupenda Uhusiano wa Prezzo na Galfriend wake kutoka Tanzania
anayejulikana kama Chaga Baby ama Starlisha...na kuanza kumtukana
Prezzo kuwa ni Mbwa koko ...Starlisha aka Chaga Birbie yamemshinda na
kuamua kumjibu Huddah Monroe kupitia Instragram
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!