Kuweka picha au video za mtu kwenye mitandao bila ruhusa ya yake ni kosa unaloweza kutozwa faini au kwenda jela kwa miezi sita, Wizara ya Mambo ya Ndani United Arab Emirates imeonya.
Hata kuweka picha na video zinazonyesha matukio ya ajali pia nayo litahesabika kama ni kosa, Wizara imesema, hii ni kwa mujibu wa gazeti la Taifa la Lugha ya Kiarabu liitwalo Al Ittihad.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!