Umem-miss yule ‘Kiuno Bila Mfupa’ wa enzi hizo? Vumilia kidogo kwa sababu yuko mbioni kurudisha ile figure yake.
Mwimbaji wa ‘Uko Wapi’, Rehema Chalamila aka Ray C amesema ameli-miss umbo lake la mvuto alilokuwa nalo zamani alipokuwa mwembamba kiasi, wataalamu wa lugha nyepesi wanaita ‘Kipotabo’.
Hali hiyo imemfanya Ray C kutangaza ajira ya kumtafuta Personal Trainer atakayemsaidia kumrudisha enzi zake.
Kupitia Instagram, Ray C amepost picha inayoonesha umbo lake la zamani akiwa anatumbuiza na kuandika, “I miss ths sexy body!!!!Heeeeelp....I need a good trainer........!Whr r U!!!!!!”
Hii ni nafasi ya ajira, kama we ni mtaalam wa mambo hayo mtafute Ray C.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!