Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » SOMA ANAVYO HADISIA MTANGAZAJI ISMAIL NIYONKURU ALIVYO ANGAISHWA JANA NA KUACHWA KWENYE MATAA STAR WA MOVIE ZA BONGO VINCENT KIGOSI A.K.A RAY

SOMA ANAVYO HADISIA MTANGAZAJI ISMAIL NIYONKURU ALIVYO ANGAISHWA JANA NA KUACHWA KWENYE MATAA STAR WA MOVIE ZA BONGO VINCENT KIGOSI A.K.A RAY

Written By Unknown on Saturday, 23 November 2013 | Saturday, November 23, 2013

Jana ilikua ni siku ya kipekee kwa Mtangazaji maarufu ambae amejitengenezea jina hapa nchini Burundi namzungumzai Mh ISMAIL NIYONKURU ambayo katika maisha yake kamwe hatokufa ana isahau kwenye maisha yake mazima kutokana na hali aliyo kutana nayo.Hapa anaanza na kuadisia vile msafara wa RAY VINCENT KIGOSI na wenzie waigizaji wa 3 aliyo kuja nao kama JUMA CHIKOPA na ANSI CUCU alie igiza kwenye movie ya Roho Sita...


Ismail NIYONKURU:Mimi siku ya jana nilishinda kazini kuanzia asubuhi kwa sababu ilikua ni siku ya kazi nilimaliza kipindi cangu ca CHANGAMKA SHOW kama kawaida yangu saa tatu kamili za asubuhi huwa kipindi cangu kinakuwa kimekwisha.

Nilipo toka Studio nikaambiwa kama leo ndipo RAY VINCENT KIGOSI atawasili hapa nchini kwenye uwanja wa ndege wa BUJUMBURA INTERNATIONAL AIRPORT na BOSS akanitaka mimi ndo ntaenda kuwapokea kama mwana habari.
Mi nikamuuliza Boss sasa mbona taarifa za hao wasanii wa Bongo movie mbona nazisikilia hewani kama watakuja watakuja?Boss akanijibu kama ulikua unaisikia hewani basi leo ndo wanawasili kwa hiyo basi jipange kanijibu boss...


Basi muda ukaenda hadi mida ya saa nane nikaanza kuopanga vifao vyangu ma Recoda na vinginevyo vya kutaftia habari,ila nikapewa namba za jamaa anae husika na kuwaleta wakina Ray anaitwa Anaclet nikaongea nae anipe mpango mzima wa safari ya hao wasanii vile watakavyo fika na muda na sababu ya wao kuwaleta na kutaka kujuwa kwanini wali waleta kimya kimya bila RADIO TV ya REMA kufahamu chochote nakuja kuwa fahamisha viongozi wangu dakika za mwisho kama hao wasanii wanakuja na wana fahamu fika hii RADIO REMA FM na REMA TV ni vyombo ambavyo ni maarufu kwa raiya wa BURUNDI kutokana na vipindi vyao hususani kipindi cangu ca CHANGAMKA SHOW ambacho kina raia lukuki wanakifatilia kila siku,ila wana amua kufanya mambo yao kimya kimya...ila hayo mimi ISMAIL NIYONKURU siku yajali kama mtangazaji wa watu wana nihitaji sana...



Muda ukawa umefika kwenye mida ya saa kumi na moja na nusu masaa ya hapa BUJUMBURA ndo muda ambao walinambia watakuja kunichukuwa wanipeleke kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura...
Na ndo muda ambao RAY angepashwa kuwa atawasili kwenye uwanja huo wa ndege wa BUJUMBURA. Wanao husika na kunipeleka huko wakanipigia sim ya kwanza wana nambia eti wanakuja kunichukua kama bado ningali kazini niwambie hapo ni kwenye sim mi nikamjibu huyo jama anae itwa ANACLET nikamwambia mi bado nipo kazini nawangoja akanambia teremka kwenye ghorafa sababu nilikuwa kwenye ghorofa sababu REMA TV ipo juu kwenye Ghorofa alafu REMA FM ipo chini nikamwambi amkifika getini mtanipigia niteremke niko tayari nimesha jiandaa punde kama dakika 30 baadae nikaona tena ile sim ya huyo jama ANACLET ana niita ana nambia kama wamesha fika getini nije sasa twende AIRPORT kumpokea RAY na amesha pata taarifa kama RAY amesha wasili wao ndo wamemchelewesha...
Kutoka hapa kazini na kwenda AIRPORT ni muda kama wa dakika 30 na zaidi...hivo.
Ni kawa nimefika mtu wa kwanza nimeanza kuona ni RAY alikua anae gamia gari la weusi aina ya NOAH new model pembeni kati kati alikuwepo JUMA CHIKOPA amevalia T-shirt ya Blue na kofia na Ansi CUCU amevalia ka kaptula kadogo dogo hivi ka weusi na singlendi ya kike ya weupe huku KIGOSI yeye kaja amevalia mavazi ya jeans na T-shirt ya weupe ndani na kaptula ya jeans ya kutaka kufanana na kijeshi hivo na kofia ya nyota 5 ya weupe...
Muda si mrefu hapo hapo nikaanza kumuomba ruhusa RAY kama tunaweza kufanya naye Interview akajibu kwa madharau nakusemaa"unasemaje?"nikazungumza na yeye kwa muda mfupi baadae nikazungumza na JUMA CHIKOPA kisha nikamalizia na ANSI CUCU...
Baadae ikawa kinacho salia nikuelekea sasa HOTEL ili wageni wapumzike...
Muda si mrefu tukaondoka RAY alikua kwenye gari aina ya NOAH new Model kutoka hapo AIRPORT kwenda HOTEL...safari ikaendelea hadi kwenye...ka HOTEL kadogo kanapatikana Mtaa wa KIGOBE tarafani NGAGARA hapa Bujumbura...RAY aka kaa akaomba aitiwe kiongozi wa alie waleta
Habari hii itandelea Mtangazaji huyu anaitwa kwenda mkoa wa MUYINGA kumuelekeza RAY huko ambapo anasubiriwa kwa hamu kubwa
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi