Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » STORY ; WAGENI WENGINE NOMA KWELI.

STORY ; WAGENI WENGINE NOMA KWELI.

Written By Unknown on Saturday, 9 November 2013 | Saturday, November 09, 2013

Mwenyeji: Utakunywa soda au chai?
Mgeni: Ntakunywa­ soda wakati nasubiri chai ichemke! 
Mwenyeji: Hapa kuna sprite na coca nikupe ipi?
Mgeni: Nipe coca sprite niwekee kwenye friji iendelee kupoa.
Mwenyeji: Nikupe mkate au maandazi?
Mgeni: Nipe maandazi kwanza mkate ntakula na chai ikichemka. 
ILIPOFIKA JIONI 
Mwenyeji: Nkuandalie chips mayai au kuku?
Mgeni: Niandalie chips kuku kwanza,mayai naomba unichemshie 10 tu ili nishushie na ile sprite.

MGENI KAMA HUYU WEWE UTAMFANYAJE?
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi