Napenda nimshukuru Mungu kwa,kuwezesha tamasha hili
liende vyema na salama,
liende vyema na salama,
na wazazi mlioruhusu watoto wenu kuja kwenye
onyesho..nina mengi ya kunena kuonyesha
shukrani zangu..ila nasema neno moja tu
...NINAWAPENDA SANAA!!!!
...NINAWAPENDA SANAA!!!!
Mashabiki wakinisubiria kwa hamu
| Shadee ndiye alikuwa host |
Nikiwasili
| Kazi ikaanza |
Mpaka giza linaaingia ..kazi ikiendelea..!!!!


0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!