Inasemekana imetimu sasa wiki kama mbili na zaidi toka amalize kutengeneza video yake mpya ijulikanayo kama "Kibajou bajou" yake huyu jama Chuma cha Chuma akipewa shavu na mwanamuziki Fizzo nguo ambazo alizo shuti nazo video hadi sasa anaonekana akiranda randa mitaa ya mjii mkuu wa Bujumbura akiwa anazivaa,nazo ndo hizo mnazo ziona kama za ma Capitaine wa meli.
Huyu jama inasemakana kuwa anamkwanja kwa kuna taarifa ziliwahi kutonya kwamba ni mwalimu wa kingereza.
Huyu jama ni mmoja mwa wanamuziki wazuri sana hapa nchini na wenye kukubalika kivile yani na hiyo humpelekea zaidi kupata show tafauti nakupata mpunga mzuri wakumtosheleza ila huwa anawashangaza raia sana kushindwa kutafuta fashion zakumpendeza na hata akiwa nazo anasalia mwa hizo hizo anaitwa Mkombozi inadaiwa kuwa nguo alizo vaa majumaa kadhaa yaliyo pita usiku mnene kwenye show ya Kook-k kule Havana ndizo alizo onekana akivaa tena kwenye show ya hivi majuzi jumatatu iliyo pita kwenye viwanja vya NEW LA GUENGUETE.
Chuma cha chuma |
Sat-b |
Huyu anitwa Sat-b ni mwanamuziki ambae pita popote pale ujuwapo hapa Bujumbura wala ufunguwe radio zote za hapa nchini huwezi ukakaa saa nzima hujasikiliza ngoma zake,ni kijana maarufu sana hapa nchini ameshaowa ana mke ndani na hivi karibuni mke wake anatarajia kujifunguwa,yupo chini ya meneja tajiri anae miliki lebo ya Bukiv Lab lakini huyu kijana ameonekana kuwa mwenye kushindwa kujisafisha vilivyo kama vile mwanamuziki maarufu anapashwa kuwa nakujitengenezea heshma kwa wanao mfata,hajuwi kuvaa na wala akivaa swaga zake hazimtoki kivile,yumo katika wanamuziki ambao walikata mshiko mrefu mwaka huu wa 2013 kutokana na ma shows alizo zipata.
Mkombozi |
Jay Fire |
Godzilla |
Pas lee |
Peter Niyo |
King Plata |
Eich Indimu |
Bidondo |
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!