Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » HIZI NDIZO SIFA ZA MWANAUME AMBAE ANAE STAHILI KUWA MME WANGU WA NDOA:SHAA

HIZI NDIZO SIFA ZA MWANAUME AMBAE ANAE STAHILI KUWA MME WANGU WA NDOA:SHAA

Written By Unknown on Friday, 20 December 2013 | Friday, December 20, 2013

Mwimbaji wa kike wa Tanzania aliyeivaa taswira ya Uswazi na kutisha kiswazi zaidi na wimbo wake ‘Sugua Gaga’, amezitaja sifa za mwanaume ambaye anafaa kuwa mumewe wa ndoa.
Shaa amesema kuwa yeye anapenda kuwa na mwanaume ambaye ni sio mkamilifu kwa kuwa hata yeye pia sio mkamilifu.
“Kusema ukweli, kwa sababu me I’m not perfect, mimi sio malaika. Kwa hiyo ningependa kupata mtu ambaye mwenyewe..you know…sio perfect, na yeye mwenyewe anananii zake.” Amesema Shaa.

Mwanafamilia huyo wa zamani wa kundi la WAKILISHA, alizitofautisha sifa za mumewe na zile ambazo wanawake wengi wanazitaja.
“Unajua wanawake wengi ukiwauliza watakwambia, mimi nataka mcheshi,  awe na hela, awe na mrefu, awe ana body, awe na gari, awe na hichi…I’m not saying ni kitu kibaya, ni kizuri. Lakini mimi napenda mtu ambaye yeye mwenyewe yuko down to earth kwa sababu ukweli ni hakuna mtu ambaye yuko kama malaika kwamba hakosei.”
Ubinadamu ndio kitu ambacho Shaa anakipigia msitari katika sifa za mumewe mtarajiwa.
“Kwa hiyo mwanamme ambaye nikikaa naye nikiona kwamba huyu ni binadamu kama mimi, ana ups zake , ana downs zake, ana weakness zake na ana strength zake. Kwangu mimi naona kama huyo ndiye anafaa kuwa baba wa watoto.” Shaa amesema
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi