TIMU ya taifa ya
Ufaransa inatarajiwa kuchezwa mechi tatu za kimataifa za kirafiki kabla
hawajaondoka kuelekea nchini Brazil kushiriki michuano ya Kombe la
Dunia. Shirikisho la Soka la nchi hiyo limedai kuwa timu hiyo itacheza
mchezao wake wa kwanza wa kirafiki huko Stade de France mei 27 huku
michezo mingine ikichezwa katika miji ya Nice Juni mosi na Lille Juni
8. Majina ya timu watakazopimana nazo nguvu yanatarajiwa kutolewa mapema
mwakani. Ufaransa imepangwa kundi F sambamba na timu za Switzerland,
Ecuador na Honduras.
Home »
michezo ulaya
» KABLA YAKUELEKEA BRAZIL (FFF) SHIRIKA LA MPIRA LA UFARANSA LATANGAZA KUJIPIMA NGUVU KWA MECHI 3
KABLA YAKUELEKEA BRAZIL (FFF) SHIRIKA LA MPIRA LA UFARANSA LATANGAZA KUJIPIMA NGUVU KWA MECHI 3
Written By Unknown on Tuesday, 24 December 2013 | Tuesday, December 24, 2013
Labels:
michezo ulaya
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!