Mchezaji wa AC Milan Mario Balotelli anawaniwa zaidi ya mpira wa kona na makampuni matatu ya viatu makubwa duniani ambayo ni Nike, Adidas na Puma, kila moja likihitaji kumpa deal ya kulitangaza kwa kuvaa bidhaa zao awapo uwanjani.
Hata hivyo imeanza kuaminika kuwa striker huyo ameichagua bidhaa ya Puma, kwa kuwa ameonekana kuvaa viatu vya kampuni hiyo katika picha zinazotolewa katika magazeti mbalimbali hivi karibuni.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!