Mwanamuziki aliyeiteka Afrika Mashariki na ngoma kama
‘Nitafanya’ akiwa na Lady Jay Dee aka Anaconda, Kidum toka hapa nchini mwenye maikazi yake Nairobi
anaumwa na anahitaji kufanyiwa opasuaji.
Kwa mujibu wa gazeti la The Standard Digital la Kenya,Kidum ameeleza hayo katika mahojiano aliyofanya Sofia Wanuna wa KTN,lakini hakutaja kinachomsumbua na kumfanya ahitaji kufanyiwa upasuaji.
“Sitaki kuwapa mapararazzi maelezo kama hivi waandike gossip kuhusu hili. Lakini ninahitaji kufanyiwa upasuaji.” Amesema Kidum.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!