Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » KUTOKANA NA KIFO CHA MAMA YAKE MZAZI MWANA TENIS PETROVA AAMUA KUJITOWA KWENYE MASHINDANO YA AUSTRALIA OPEN

KUTOKANA NA KIFO CHA MAMA YAKE MZAZI MWANA TENIS PETROVA AAMUA KUJITOWA KWENYE MASHINDANO YA AUSTRALIA OPEN

Written By Unknown on Tuesday, 24 December 2013 | Tuesday, December 24, 2013

MCHEZAJI nyota wa tenisi, Nadia Petrova wa Urusi amejitoa katika michuano ya wazi ya Australia inayotarajiwa kuchezwa mapema mwakani kufuatia kifo cha mama yake kilichotokana na ajali ya gari. Mama yake Petrova aitwaye Nadezhda Illyina alikuwa mwanariadha ambaye aliwahi kushinda medali ya shaba katika mbio za mita 400 kupokezana vijiti katika michuano ya olimpiki iliyofanyika jijini Montreal mwaka 1976. Mrusi mwenzake Maria Kirilenko ambaye anashika namba 19 katika orodha za ubora duniani naye amjitoa kutokana na majeruhi. Kujitoa kwa Petrova kunamaanisha kuwa Tsevetana Pironkova mwenye umri wa miaka 26 raia wa Bulgaria atachukua nafasi hiyo katika droo kubwa ya michuano hiyo.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi