Rais wa Manzese kama anavyojiita, Madee ameanzisha gumzo
kupitia Instagram baada ya kupost picha yake akiwa anaitengeneza sura
yake (akifanyiwa scrub).
Picha ya Madee imepokelewa kwa mshangao na wadau wengi ambao hawakutegemea kama mkali huyo toka Manzese angeweza kuwa amebadilika kutoka kwenye maisha ‘yale’ hadi kuilainisha sura yake.
Mkali huyo wa Tema Mate Tuwachape ameandika kwenye post hiyo:
‘Pimp my face my heaaaa it's nice friday #tuwachapemabongolala’
Moja kati ya watu ambao wameipokea tofauti picha hiyo na kuandika yao ni rapper toka Tanga Roma Mkatoliki ambaye ameandika kwa utani, “Mandela alipoitwa MADIBA alishauriwa na wana afupishe jina lake MADIBA ajiite MADII!! akagoma na akakataa katakata maana anajua MADII wengi sio MANIGA HIP HOP!!!!
Hata hivyo Madee ambaye hivi karibuni aliachana na mtindo wa kurap na kufanya Afro Pop, amesisitiza kuwa yeye sio mwana hip hop, yeye rapper.
Kwa waliodai kuwa amebadilika, Madee alimalizia mstari ulioko kwenye ngoma yake ‘Yeah Sisomeki’.
Baada ya mjadala mrefu wa comments kutoka kwa wadau wa muziki akiwemo Jabir Saleh aka Kuvichaka wa The Jump Off kuonesha mshangao kwa kile anachokiona kwenye picha, huku Dj K_U akimtetea kuwa yeye ni Rapper na sio mwana hip hop, Madee aliandika:
“Yeah Khalid (Dj K_U) mwambie uyo (Jabir Saleh) am the best rapper ol de tym so niwachen nijisafishee.”
Changamoto kama hii iliwahi kumpata Fareed Kubanda aka Fid Q miaka flani alipoamua kujisafisha sura na kuoneshwa moja kwa moja kwenye runinga.
Madee amefanya yake katika kujiweka sawa kwa kuwa amejisikia kufanya hivyo lakini tatizo lililopo ni kwamba amefanya kitu ambacho wengi hawakukitarajia kwa kipindi hiki katika ardhi hii. All is Well.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!