Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » MILEY CYRUS ATOWA SABABU ZA YEYE KUPENDA KUPIGA PICHA HUKU AKITOWA ULIMI WAKE NJE

MILEY CYRUS ATOWA SABABU ZA YEYE KUPENDA KUPIGA PICHA HUKU AKITOWA ULIMI WAKE NJE

Written By Unknown on Friday, 20 December 2013 | Friday, December 20, 2013

Kama wewe ni fan wa Miley Cyrus na unazifuatilia picha na video zake, utagundua mara nyingi anapopiga picha au anapoisogelea kamera huweka ulimi wake nje kwa bidii. Sababu ni nini? Amefunguka mwenyewe.
Miley Cyrus amefunguka kwenye interview aliyofanya na Barbara Walters kwamba huwa anafedheheshwa na upigaji picha.

“Ninafedheheshwa napopiga picha. Huuo ndio ukweli.” Amesema Miley na kufafanua zaidi, “ninafedheheshwa, kwa sababu watu wananipiga picha na sijui cha kufanya, sijui jinsi ya kutabasamu, kwa hiyo naweka ulimi wangu nje, kwa sababu sijui kitu kingine cha kufanya.”
Ameongeza kuwa alipoacha kujiangalia kwenye mitandao amekuwa ni mtu wa furaha ya ziada. Hii ni kwa sababu hafahamu ni nini ambacho watu wanazumzumza kwenye mitandao kuhusu yeye.
“I know I’m not, so that’s why I just kind of laugh. I refuse to Google myself. The minute I stopped Googling myself, you don’t imagine what a happier person I am.”
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi