Kiharusi ni ugonjwa ambao husababishwa na kufa kwa cell za ubongo.Kuna aina mbili za kiharusi.1.Kiharusi cha aina ya kwanza kinachoitwa ischemic hichi husababishwa na kuziba kwa mishipa ya damu baada ya mishipa hiyo kujaa mafuta(cholesterol) na kusababisha damu kutofika vzr kwenye ubongo kama unavyoona kwenye kimchoro cha juu.
STROCK (KIHARUSI) |
DALILI ZA KIHARUSI
1.kupooza mguu au mkono.
2.Kuchanganyikiwa kupata shida kuongea au kuelewa.hapa utakuta mnamgonjwa halafu inafikia kipindi anakuwa kama kachanganyikiwa anaongea yasioeleweka na pia anapoteza kumbukumbu,anaweza kuja kumuona mtoto wake kabisa halafu akamuuliza wewe ni nani.
3.kutokuona jicho moja au yote.
4.kuumwa kichwa kikali mara kwa mara pasipojua chanzo.
5.kichefuchefu cha ghafla kuwa na homa na kutapika muda mrefu.
KIHARUSI KINATIBIKA KINGA ZA KIHARUSI PIA ZIPO.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!