Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » HII NDO ORODHA KAMILI YA WASHINDI WA TUZO ZA GRAMMY AWARD MWAKA HUU WA 2014

HII NDO ORODHA KAMILI YA WASHINDI WA TUZO ZA GRAMMY AWARD MWAKA HUU WA 2014

Written By Unknown on Monday, 27 January 2014 | Monday, January 27, 2014

Hatimaye tukio la utoaji tuzo za Grammy (2014) limekamilika huko Los Angeles, Marekani na kuacha tabasamu kwa mashabiki walioshuhudia wasanii wao wakichukua tuzo, huku wengine wakiwa surprised kuona sura za wasanii tofauti jukwaani wakichukua tuzo walizoamini zingechukuliwa na moja kati ya wasanii waliowategemea sana.
Moja kati ya surprise zilizokuwepo ni pamoja na kutajwa kwa Macklemore & Ryan Lewis kuwa washindi wa tuzo ya album bora ya Rap ‘Best Rap Album’ na album yao ‘The Heist’, iliyozipenya albums zilizokuwa gumzo mwaka jana na kushika vichwa vya habari duniani kote.
The Heist ya Macklemore & Ryan Lewis ilizipenya ‘Magna Carta Holy Grail’ ya Jay Z, Nothing Was The Same ya Drake, Yeezus ya Kanye West na Good Kid, M.A.A.D City ya Kendrick Lamar.
Maclemore & Ryan Lewis walinyakuwa tuzo nne usiku huo na kuufanya uwe usiku watakaoukumbuka katika historia ya maisha yao ya muziki. Mbali na kuchukua ‘Best Rap Album’, walishinda tuzo za Best New Artist, Best Rap performance na wimbo wao ‘Thrift Shop’, na tuzo ya Best Rap Song ‘Thrift Shop’.
Kwa upande mwingine, album ya ‘Girl On Fire’ ya Alicia Keys alichukua tuzo ya ‘Best R&B Album, ‘Pusher Love Girl’ ya Justin Timberlake imechukua tuzo ya ‘Best R&B Song’, Holy Grail ya Jay Z akiwa na Justin Timberlake imetajwa kama ‘Best Rap/Sung Collaboration.
Rihanna ameenda nyumbani na tuzo ya ‘Best Urban Contemporary album’ na Unapologetic, huku Unorthodox ya Bruno Mars ikimpa tuzo ya ‘Best Vocal Album’.
Video ya Suit and Tie ya Justin Timberlake akiwa na Jay Z imeibuka ‘Best Music Video’ na Pharell Williams ndiye mtayarishaji wa muziki wa mwaka kwa mujibu wa tuzo hizo.
Tuzo kubwa na nzito ya album ya mwaka kwa ujumla imeenda kwa Daft Punk na album yao ‘Random Access Memories’.


Angalia orodha nzima hapa:

Album of the Year
Daft Punk - Random Access Memories
Record of the Year
Daft Punk Featuring Pharrell Williams & Nile Rodgers - "Get Lucky"
Best New Artist
Macklemore & Ryan Lewis
Best Pop Vocal Album
Bruno Mars - Unorthodox Jukebox
Song of the Year
Lorde - "Royals"
Best Pop Solo Performance
Lorde - "Royals"
Producer Of The Year, Non Classical
Pharrell Williams
Best Pop Duo/Group Performance
Daft Punk Featuring Pharrell Williams & Nile Rodgers - "Get Lucky"
Best Dance Recording
Zedd Featuring Foxes - "Clarity"
Best Score Soundtrack For Visual Media
Thomas Newman - "Skyfall"
Best Dance/Electronic Album
Daft Punk - Random Access Memories
Best Rock Performance
Imagine Dragons - "Radioactive"
Best Hard Rock/Metal Performance
Black Sabbath - "God Is Dead?"
Best Rock Song
Paul McCartney, Dave Grohl, Krist Novoselic, Pat Smear - "Cut Me Some Slack"
Best Rock Album
Led Zeppelin - Celebration Day
Best Alternative Music Album
Vampire Weekend - Modern Vampires Of The City
Best R&B Performance
Snarky Puppy With Lalah Hathaway - "Something"
Best Traditional R&B Performance
Gary Clark Jr. - "Please Come Home"
Best Urban Contemporary Album
Rihanna - Unapologetic
Best R&B Album
Alicia Keys - Girl On Fire
Best Rap/Sung Collaboration
Jay Z Featuring Justin Timberlake - "Holy Grail"
Best Rap Song
Macklemore & Ryan Lewis Featuring Wanz - "Thrift Shop"
Best Country Song
Kacey Musgraves - "Merry Go 'Round"
Best Country Album
Kacey Musgraves - "Same Trailer Different Park"
Best Americana Album
Emmylou Harris & Rodney Crowell - Old Yellow Moon
Best Blues Album
Ben Harper With Charlie Musselwhite - Get Up!
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi