Toure anayekipiga katika klabu ya Manchester City ya
Uingereza, aliwazidi John Obi Mikael wa Nigeria na Didier Drogba ambaye
wanatoka nchi moja na kufikisha tuzo ya tatu sawa na Abeid Pele wa Ghana
na Samuel Eto’o wa Cameroon.
Akihojiwa mara baada ya tuzo hizo, nyota
huyo alidai kuwa anafurahia kuwa mshindi lakini pia anampongeza mpinzani
wake wa karibu Obo Mikael kwani na yeye alistahili tuzo hiyo.
Mbali na
Toure, Mohamed Abou Trika wa Misri naey alipewa tuzo hiyo akiwakilisha
wachezaji wanaocheza ndani ya Afrika huku kocha wa timu ya taifa ya
Nigeria Steven Keshi akipewa tuzo ya kocha bora wa mwaka.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!