Mwanamke mmoja wa kisaudia ameripotiwa kubadili style ya nywele zake
pamoja na kufanya plastic surgery ili afanane na Kim Kardashain baada
ya kugundua mume wake anampenda sana Kim.
Inaonekana uzuri wa Kim uliompa umaarufu sio kila mtu anaufagilia |
"Nimegundua kuwa mume wangu anampenda Kim.kwahiyo nikaamua kuwa kama
yeye tena kwa uzuri zaidi yake," mwanamke huyu ambae hajatajwa ni nani
aliliambia Saudi Arabia-language daily.
Lakini plani yake haijafanya kazi
"Nimebadilisha staili ya nywele zangu, na nikatembelea clic ya plastic
sugery. nimejaribu hata kutembeakama Kim kwa matumaini kuwa mume wangu
atavutiwa na mimi, lakini matokeo yake hayakuwa kama
nilivyotarajia.aliniambia hajapenda nilichokifanya na kuanza kubishana
na mimi kuhusu nilichokifanyakabla ya kuamua kunipa talaka na kumuoa
mwanamke mwingine.
wakati huo huo, mama mpya Kim Kardashia, amekua gumzo Hollywood kwa
kupungua kilo 25 baada ya kumzaa mtoto wake wa kwanza na Kanye West
"North West"
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!