Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » RAPA THE DREAM KUTOKA MAREKANI AAMUA KUONDOKA KWENYE LABEL YA DEF JAM

RAPA THE DREAM KUTOKA MAREKANI AAMUA KUONDOKA KWENYE LABEL YA DEF JAM

Written By Unknown on Friday, 10 January 2014 | Friday, January 10, 2014

Baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miaka saba chini ya label ya Def Jam, mwimbaji The- Dream ametangaza kujitoa kwenye label hiyo.
Mwimbaji huyo wa ‘Rocking That Thang’ alitoa tangazo hilo kupitia Instagram Jumatano, January 8 kwa kupost picha yenye logo ya Def Jam na kuandika ‘I will miss this logo. It all started here! Love Everything that I achieved there, OXODUS THE-DREAM#exodusthedream.”
Hata hivyo hakuzitaja sababu zilizopelekea kuachana na label hiyo, lakini alieleza jinsi anavyopenda kufanya kazi akiwa peke yake.
“Creativity! My Own Time my own Way. Just me and spat my Engineer at the Time. No label at All!” The-Dream aliandika.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi