Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » SOMA HAPA ALICHO KISEMA MTANGAZAJI RAPHAEL NYANDWI KUTOKA BURUNDI,NAKULAANI KITENDO KIMEKUWEPO KWA WANAMUZIKI KWIMBA WIMBO AKIMLENGA MWENZIE

SOMA HAPA ALICHO KISEMA MTANGAZAJI RAPHAEL NYANDWI KUTOKA BURUNDI,NAKULAANI KITENDO KIMEKUWEPO KWA WANAMUZIKI KWIMBA WIMBO AKIMLENGA MWENZIE

Written By Unknown on Wednesday, 29 January 2014 | Wednesday, January 29, 2014

Ukiwa unamaradhi basi ni lazima umuone dakatari uweze kupewa tiba ili uweze kupona na maradhi yakikithiri na kuwakumbwa raia ni lazima ma daktari waingie kwenye labo kutafuta dawa ili wagonjwa wasizidiwe na wakati mwingine wakaweza hata kuiaga dunia.
Ila ikiwa ma daktari wataangilia kwa haraka kuwatibu wagonjwa magonjwa yao basi wataweza kupona haraka na wakaendelea kama kawaida.
Mr Home(kusoto)akiwana na Mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru(kulia)
Leo asubuhi kama kawaida mnafahamu kuwa mwanahabari wenu Mh Ismail Niyonkuru huwa anafanya kazi kila siku za Ijumatatu hadi ijumaa kuanzia saa mbili kamili hadi saa 3 ya asubuhii kwenye kipindi nambari moja cha Entertainment nchini Burundi nakizungumzia Changamka Show.
Hi leo asubuhi kwenye kipindi hicho cha Changamka Show mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru alikuwa amempa mualiko mtangazaji mwenzie ambae wanafanya nae kazi moja yakukuza muziki wa Burundi ila yeye kutoka kwenye Redio Salama na Tv.
Swala kuu ambalo walilo kuwa wameliweka mezani lilikuwa linahusu maswala mbali mbali hususani ya migogoro ambayo inayo endelea kwenye tasnia ya muziki wa Burundi,Mr Home aliweza kuweka mambo muhimu mezani nakuweza kuchambuwa moja kwa lingine kuanzia mwanzo wa maswala haya zaidi ya migogoro baina ya wasanii kwa wasanii hadi wanaleta gumzo kwenye vyombo vya habari na kukemea zaidi maswala ya bifu nakusema kuwa bifu za Burundi si kama za nchi zingine,za Burundi zipo tafauti kabisa nakufumbuwa kuwa wale wote wanao fanya mambo hayo ya migogoro aka bifu wanakuwa wanataka zaidi umaarufu wala si bifu za wengine za biashara za kuwaendeleza kimaendeleo kama inavyo zoweleka kwa wengine.
Ameongeza nakuwapa ukweli wale wote wanao hisi kuwa watu fulani wakiingia kwenye mgogoro eti muziki wa Burundi unakuwa unarudi nyuma lahasha Mr Home amekana hilo nakusema kuwa anawashangaa wasanii aidha msanii anae ingia studio kutengeneza muziki wa dakika 4 au 5 au na zaidi ukiwa unamlenga mwenzake yani anamwimbia mwenzie,Mr home yeye kiupande wake amekiita kama niupeo mdogo wa kufikiri na kutokujuwa yeye ni nani mbele ya jamii na anahitajika kufanya nini kwa kuelimisha uma unao mtazama na kumsikiliza.
Mr Home hakuishia hapo alisema kiupande wake kuwa na Redio ziwe zikifanya kazi ipasavyo kwa kipindi ambacho kunakuwa mambo ya migogoro kama hayo nakuongeza kuwa kipindi kisiwi cha watu wawili mwanzo hadi mwisho kwa sababu kuna wanamuziki wengi ambao wanahitajika kutangazwa aidha kutangaziwa kazi zao nakutowa lamoyoni kuwa mtangazaji atasalia kwenye kipindi anazungumzia habari ya watu wawili basi itakuwa nikuenda kinyume na kazi ya utangazaji.

Picha zaidi za Mr Home na Mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru hapa chini:


Mr Home na Mh Ismail Niyonkuru wakimaliza kipindi



Swaga za Mr Home bwanaaa nomaa

Mr Home akiwa pamoja na Mh Ismail Niyonkuru hapo ni nje ya Studio

Akiondoka huku akisema duu Kweli wasaniiii bana wanapenda bifuuuu

Mr Home akiondoka kwenye Redio Rema Fm

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi