Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » USAFI KWA WAPENDANAO NI MUHIMU HASA WAKATI WA KUPEANA RAHA TUPU

USAFI KWA WAPENDANAO NI MUHIMU HASA WAKATI WA KUPEANA RAHA TUPU

Written By Unknown on Thursday, 16 January 2014 | Thursday, January 16, 2014



Pengine hili linawagusa wanandoa wengi pale wanapokutana Uwanjani, na wengi wetu tumekuwa wakimya na kuamua kuvumiliana ingawa linatukereketa moyoni. "USAFI" ni jambo muhimu sana katika kujihakikishia tunafurahia mapenzi na kupenda kufanya mara kwa mara na wapenzi wetu. Usafi wa Mwili na mazingira tupoenda kukutania, iwe chumbani au Sebuleni. kuhusu usafi wa mazingira, haunipi shida sana, tatizo ni usafi wa mwili, hapa napenda kusema kwa pande zote mbili kwa mume na kwa mke. Tusiruhusu harufu za ajabu ajabu ziharibu starehe yetu tuliorithishwa na Adam na Hawa, Harufu zinaweza zikawa ni za Kikwapa, Nywele za kichwani na mbaya zaidi ni harufu toka sehemu za s!ri. Tujitahidi kuoga kabla hatujakutana na wenza wetu, tusafishe sehemu zote ambazo tunahisi zina tabia ya kutoa harufu, tunyoe nywele za kwenye makwapa na sehemu za s!ri kwani nazo zinachangia kuleta harufu na mba wakati mwingine. Tujitahidi kupaka mafuta au manukato mazuri yasiyo na tabia ya kubadilika pindi tunapokuwa katika shughuli na kupoteza ladha ya mchezo, na la mwisho mawazo yetu tuyaweke mchezoni ili tuene raha ya mechi........... Kwa walioruhusiwa tu jamani!!!
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi