Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » DIAMOND AKATAA MIKATABA YA MILIONI 325 NA 195 KWA AJILI YA DILI ALILOKUWA NALO KWA SASA!

DIAMOND AKATAA MIKATABA YA MILIONI 325 NA 195 KWA AJILI YA DILI ALILOKUWA NALO KWA SASA!

Written By Unknown on Sunday, 16 February 2014 | Sunday, February 16, 2014



Wote tunajua kwamba diamond platnumz kwasasa anafanya kazi na coca-cola kama brand ambassador na Vodacom Tanzania pia. lakini chini ya kapeti hauwezi kuamini deals diamond anazozipata kila kukicha na kuzipiga chini. Diamond alifunguka hivi kuhusiana na hilo;- 


“Before mimi, wapo wasanii kibao walikua wakitumiwa na makampuni ya kibiashara,lakini maslahi ya kiuchumi hayakua makubwa kutokana na
wasanii wenyewe kutojipa thamani. Ukiniona mie nimekubali kufanya kazi na makampuni ya kibiashara ujue lazima akaunti yangu imekaa vizuri sana. Naijua thamani yangu vizuri,i’ve worked hard kufika hapa nilipo and no one should take me for granted.
Nashukuru mungu ubishi wangu umenisaidia nalipwa vizuri kama wasanii wengine barani afrika wanavyolipwa,though nimekua vilevile na lose sana,mfano hivi karibuni kuna kampuni moja ya simu ilinipa deal ya $200,000 but i turned it down coz walishidwa kufikia dau langu,also there was a deal na kampuni moja ya unga walitaka kunipa ubalozi , i told them to pay me $120,000 wakasuasua mpaka ilipotoka my number 1 wakarudi tena nikawaambia thamani yangu imepanda waongeze mtonyo na wakishidwa wafanye kazi na msanii mwingine kwa bajeti hiyo,haikua kwa ubaya it was a pure business.
Ukweli ninastahili kulipwa fedha ninazowaambia kwasababu huwa nazifanya vizuri kazi zangu zote kibalozi na ndio maana coca cola wananitreat vizuri”.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi