Baada ya vugu vugu na vuta nikuvute kati ya baadhi ya watangazaji wa hapa nchini Burundi wao kwa wao wakipingana kuhusiana na track mpya ambayo ni hit song ya mwanamuziki asie kosa skendo namzungumzia Burundiano track ya "What's my name" kuwa ilivuka mipaka na maadili ya warundi.Siku kama 3 za nyuma kulikuwa kumeibuka kundi la waandishi wa habari ambao walitaka mwanamuziki huyo achukuliwe vikwazo kwa kuwa wimbo huwo umejazwa na maneno machafu yakuleta kichefuchefu kama alivyo sema mtangazaji Nyandwi Raphael wa Salama Tv na Redio.
Ila wangine wakipinga nakusema kuwa wimbo huwo hauna makosa yoyote na wala hauna hayo maneno ambayo yanasemwa,huku kukiwa na habari za uhakika kuwa shirika la wanamuziki wa Burundi linalo ongozwa na Memba Simbavimbere Bruno limependezwa na wimbo huwo ambao umejaa matusi ya kilaana nakusema kuwa kwa mujibu wa watu wa karibu wa huyo mkuu wa shirika hilo ameweza kumsifia mwanamuziki huyo nakusema "ahubwo yaririmvye neza" yani ameimba vizuri,kauli hiyo ilionekana kuwakera wanahabari hawa mashuhuri na wenye vipindi vinavyo pendwa na raia wengi wa hapa nchini.
Huku kukipangwa mikakati ya vile wanahabari hawa wangekutana kwenye redio na vile wataanza kukizungumzia kitu hicho baada ya mtangazaji Eddy kamoso wa Redio na Televisheni ya REMA kuwaalika kwenye kipindi chake cha Nezerwa na sms media hii leo,ila kumeweza kupatikana taarifa sizakupendeza ambazo mtandao huyu ulizinasa kwenye mida ya saa moja za usiku kuwa kuna watangazaji ambao wamefumbatishwa nakupewa lungunya na mwanamuziki huyo.
Hayo ya hao wanahabari kama wanaweza kuwa wamepewa lungunya yameonekana kuwa ya kweli ambapo leo siku ya siku ambayo ma elfu na ma elfu ya warundi walikuwa kwenye redio wakitega sikio kusikiliza ni ipi hatua atachukuliwa mwanamuziki huyo.
Japo wengine wakiendesha Kipindi hicho chakuitengeneza tasnia hii ya muziki wa Burundi.
Taarifa ambazo hazina shaka ndani yake zilitonya kuwa kulikuwepo kundi la wanahabari ambao kwa namna moja ama nyimgine walikuwa kwenye mgahawa wa RUCSA PLAZA wakifanya na wao makangamuzi yao kutaka kupinduwa muungano wa hawa watangazaji walio choshwa na tabia za mwanamuziki huyo.Bila kumuokopa yeyote lakini mtandao huu una waheshimu wanahabari hao ila hausiti kuwataja majina ya wanahabari hao kwa mujibu wa hiyi post iliyo wekwa na huyu raia kwenye mtandao wa Facebook
Hadi sasa swali tete ambalo linakuja kwa hawa wanahabari nikuwa je,hawato kula na wao lungunya wakapinda kama wengine?
Ukiweka fikra zako sehemu mmoja nakulisoma hili vugu vugu na hapa ambapo limefikia utagunduwa kuwa tayari mwanamuziki huyu amewagawanya kwenye makundi mawili wanahabari hawa huku kundi moja likisema kuwa wao kamwe hawatorudi kucheza nyimbo zake mpaka aende aombe msamaha kwenye ma redio alizo zichafuwa.
Kwa mujibu wa Kivodo wa Redio RFM yeye alisema "kama hakuimba wimbo wa msamaha vile alivyo imba wimbo wa kutuchafuwa mimi kamwe sirudi kumcheza Fizzo,kandi nshaka kubamenyesha yuko iradiyo nkorerako ya RFM yafuse indirimbo ziwe zose kuko inyishu yakazi twamukoreye nukudutuka" nakusema vile wao walivyo kuwa wanamjali mwanamuziki huyo.
Kwa mujibu wa maneno ya mtangazaji Franck Espoir wa Redio na Televisheni ya Renaissance,yeye utahisi mwanamuziki huyo alikuwa na mengine ambayo alikuwa amesha mtendea ukuzingatia na maneno mazito yenye alikuwa akiyaongea:"Jewe indirimbo za Fizzo narazifuse kera iwacu,kuko iwacu ntitwokwihanganira igitutsi M***fk mu kiganiro canje canke kw'Iradio yacu"
Mtangazaji Alain Nova kutoka kwenye Redio Culture na yeye pia alionekana kuchefuliwa na tabia za mwanamuziki huyo nakusema yeye kwake ndo kabisa.
Mtangazaaji Kivumbi alionekana kuwapa kumbukubuku raia nakuwakumbusha wapi Fizzo alipo patoka pale alipo uliza kuwa Album ya "Jewe" ya mwanamuziki huyo ni nani aliye inunuwa?na kuongeza kuwa ni akina nani waliyo mpa promotion?nakumalizia kuwa yeye kwake ndo wamsahau.Patrick Pajio wa Redio RPA alionekana kuwa tafauti na wengine nakusema yeye kiupande wake anaona pangeliziwiliwa wimbo huyo huyo umoja ila zingine ziendelee kuchezwa.
Mwahabari Mh Ismail Niyonkuru yeye alizingatia zaidi wanamuziki kuimba nyimbo za ujumbe nakuweza kuzipa thamani nyimbo hizo nakusema kuwa hata rais wa nchi anaweza kuzisikiliza nakuzielewa,nakumalizia kuwa nyimbo za kutukanana hazina maana yeyote kwa warundi na wale wote wanao ufatilia muziki huu wa Burundi.
Kwa kumalizia mwanahabari huyo aliweza kutowa tangazo kutoka kwa Mkurugenzi wa Redio na Televisheni ya REMA muheshimiwa Mzee Claude Nkurunziza kuwa hata tangazo mfano kama hizi za ma show ambayo itakuja ikiwa na jina la mwanamuziki huyo wasiisogelee Redio na Televisheni ya Rema eti wanaleta tangazo hilo wakiomba wasaidiwe.
Fahamu kuwa wanahabari hawa watakuwa tena jumapili saa 3 za usiku kwenye redio Renaissance fm kwa shabaha yakungowa mizizi jambo hilo.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!