Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » HATIMAYE YULE MCHEZAJI AMBAE AMETOKEA KUWA TEGEMEO KWENYE KLABU YA MANCHESTER UNITED AMEITWA KWENYE KIKOSI CHA UBELGIJI

HATIMAYE YULE MCHEZAJI AMBAE AMETOKEA KUWA TEGEMEO KWENYE KLABU YA MANCHESTER UNITED AMEITWA KWENYE KIKOSI CHA UBELGIJI

Written By Unknown on Wednesday, 14 May 2014 | Wednesday, May 14, 2014

KOCHA wa timu ya taifa ya Ubelgiji, Marc Wilmots ametaja kikosi chake kwa ajili ya kombe la dunia na kumujumuisha kinda wa Manchester United Adnan Junazaj.
Ubelgiji imepangwa kundi H na timu za Russia, Algeria na kurea kusini ambao wataanza kampeni zao juni 17 dhidi ya Algeria.
Wilmots ametangaza kikosi cha wachezaji 24 na wengine 6 wa ziada kama itatokea majeruhi katika kikosi chake.
Mbali na kinda huyo mwenye miaka 19 , Thibaut Courtois, Jan Vertonghen, Vincent Kompany Dries Mertens, Eden Hazard, Marouane Feillaini na  Romelu Lukaku, Axel Witsel wamejumuishwa katika kikosi hicho.
Ajabu nyingine ni kujumuishwa kwa mshambiliaji wa Lille ya ufaransa mwenye miaka 19,  Divock Origi, ambaye amefunga mabao matano katika mechi 29 alizocheza Ligue 1  msimu huu.
 
Kikosi kizima hiki hapa: 
 
Walinda Mlango
Thibaut Courtois, Simon Mignolet, Koen Casteels, Silvio Proto
 
Mabeki: 
Toby Alderweireld, Laurent Ciman, Anthony Vanden Borre, Vincent Kompany, Daniel Van Buyten, Jan Vertonghen, Thomas Vermaelen, Nicolas Lombaerts
 
Viungo: 
Axel Witsel, Steven Defour, Marouane Fellaini, Mousa Dembele, Nacer Chadli, Kevin De Bruyne
 
Washambuliaji: 
Eden Hazard, Romelu Lukaku, Divock Origi, Dries Mertens, Kevin Mirallas, Adnan Januzaj
 
Wachezaji wa akiba
Sebastien Pocognoli, Jelle Van Damme, Thorgan Hazard, Radja Nainggolan, Michy Batshuayi, Guillaume Gillet
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi