Kama ilivyo kuwa kama ada kwa mtandao huu kuweza kuwa karibu kwa kila wakati kukushushia mambo ya kijanja kwa yale yote yanayo endelea kujiri dunianii,tukiangazia kwa Burundi bado mwanamziki Bizimana Abubakar karume alimaarufu kama Sat-b anaendelea kufanya vyema kwenye tuzo za Kora Awards ambapo kila kukicha kijana huyo hatuwa zake zazidi kupandaa.
Kumbuka mwanzo palipo tolewa taarifa kuwa kijana huyu ndie muwakilishi wa Burundi kwenye tuzo hizo za heshma barani Africa na dunia nzima wengi walipinga hayo huku ikichangia na baadhi ya waandishi wa Habari kutoka nchini wakikana katukatu kwamba mwanazuki huyu kamnwe hawezi kuliwakilisha taifa la Burundi kwenye tuzo hizo ambazo ni tuzo kubwa barani Africa na dunia nzima.
Ilifikia hadi mwa hao hao waandishi wa Habari kudiriki kusema kamwe wao hawawezi mpigia debe kijana huyu na hadi kuunda habari za uwongo kuwa eti hii si Kora ya ukweli eti ni mipango ambayo imeundwaa na Label ambayo kwa sasa mwanamuziki huyo amesaini siku za hivi karibuni na vile kijan huyu alikuwa na siku chache amemaliza kusaini dili na kampuni hiyo.
Ila siku zilivyo zidi kwenda mbele ndipo pale mwanahabari muheshimiwa Ismail Niyonkuru wa kituo cha Radio Rema fm na televisheni kama kawaida yake anavyo mpigia debe kila mwanamuziki wa Burundi anapo kuwa kwenye mashindano anavyo kuwa mstari wa mbele kwa kumpigia debe ukizingatia na mwaka janaa kwa mwanamuziki Kidumu na mwaka huu kubahatika mwanamuziki Sat-b.
Kwenye vipindi vyake alianza kwa kasi kubwa kwa kumpigia kura kijana huyo hadi mengi yakaanza kutajwaa huku kampeni iliyo kuwa yakumpinga kijana huyo iliweza kuhama nakuhamia kwa mwanahabari Ismail Niyonkuru eti ameingia mkataba na mwanamuziki huyo,ila hayo yote mwanahabari huyo aliyaona kuwa ni pumba tupu zinazo tengenezwaa na wanahabari wanao jiita wao ni wakali wa kazi za utangazajii aliendelea kumkusanyishia kura kijana huyo na vile alikuwa akimtia Mungu mbele aliweza kumuwezesha mwanahabari huyo kuyavuka hayo na hadi sasa bado anakazana wala hajachokaa kumpigia debe kwa raia kuzidi kumpigia kura kijana huyu,mwanzo ilianza kama utani na wengi kusema ni uwongo ila kwa sasa aibu yaanza kuwatapakaa machoni mwao.
Kwa mujibu wa matokeo ya Top 20 ya wiki ya 20 Sat-b amevukaa fasi moja kutoka kwenye nafasi ya 19 wiki iliyo pita.
Washukuriwe watangazajii wote ambao kuanzia mwanzo walikuwa wakipiga kelelee kwa raia waweze kumpigia kura kijaana kwa saana bila kuwasahau viongozi wote wa Radio Rema fm.
Wewe kama ni mzalendo pigia kura kijana usijalii maneno ya watu wala wanayo undaa hao waandishi wa Habari hizo ni propaganda za hao hao waandishi wa habari na wasanii wao wanao wahonga pesa ilimradi wazime nyota za wenzao wasanii kwa sababu wao muziki umewashindaasasa hawana njia nyingine zaidi yakupitia kwenye waandishi hao wanao jiita wao eti ni ma promota wakwanza wa muziki wa Burundi kumbe matapeli wakubwaa.
Kutaka kumpigia kura Sat-b kwenye Kora Awards funguwa hapa kwenye hii link kisha tafuta paliopo picha yake kisha uwandikee chini kwenye comment jina lake tu:https:
https://www.facebook.com/photo.php?fbid=389326537873170&set=a.355773297895161.1073741831.355750224564135&type=1&theater

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!