Ukiwaulizia wanamuziki waliyomo kwenye miondoko ya rnb na wanao imba kiswahili kizuri kwenye nyimbo zao basi mwanamuziki Yussuph Kabeza alimaarufu kama Kebby anakuja kwnye nafasi ya juu.
Kebby ni mzaliwa wa Uswazii ila kwa sasa ni mwenye maikazi yake pande za Kany Empire anapo tokea rais wa Kany Empire ambae ni Sat-b.
Leo asubuhi kwenye Exclusif interview ya 88.6 chini ya usimamizi mkubwa wa muendeshaji na muongozaji wa kipindi maridadi kijulikanacho kama Changamka show namzumngumzia Mh Ismail Niyonkuru aliweza kufanya mahojiano kwa njia ya sim moja kwa moja na Kebby kutoka kwenye studio za Redio Rema fm hadi kusini mwa jiji la Bujumbura.
Zaidi walicho kizungumzia ilikuwa nikuhusiana na habari za chini ya Carpet ambazo imeanza kutonya kuwa mwanamuziki huyo yupo studio akitengeneza ngoma mpya,ngoma hiyo ambayo inasemekana kuwa muda wowote ule inaweza ikatoka pale ameifikisha.
Kebby kwa sasa ana track mpya ambayo inajulikana kwa jina la "Dunkelele remix" ambayo hivi karibuni wiki kama mbili zilizo pita aliiachia,tambuwa kuwa aliiachia baada yakuwa track hiyo ilikuwa imekaa muda mrefu studio nakucheleweshwa na mwanamuziki walieshirikiana nae ambae ni mwanamuziki Mugani Desire ama Burundiano,na yeye kama mmiliki wa wimbo huo ilimbidi aelekee studio nakuweza kujaza vile ambavyo vilikuwa vinasalia kujazwa na huyo ambae walieshirikiana nae baada yakuondoka bila hata yakumuaga.
Kebby kwenye mahojiano alikubali kuwa taarifa hizo ni za ukweli kuwa kuna wimbo upo unatengenezwa ila kushindwa kumtaja mtengenezaji wa muziki huo yani producer aidha hata kutaja studio yenyewe ianatengeneza wimbo huo nakusema bado haijafikia kumtangaza producer huyo aidha studio hiyo kwa sababu eti producer uyo bado nimpya kwenye game la muziki wa Burundi na studio hiyo bado ingali changa.
Aliulizwa kuhusu jina na miondoko ya wimbo huo akasema uko kwenye miondiko ya kiswahili swahili yani yakimdwara mdwara hivo,Kebby aliweza kutaja kuwa track hiyo inaitwa pia jina la track hiyo nakusema kuwa inaitwa "Wanyama pori" nakushindwa kutowa ufafanuzi zaidi wa jina hilo.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!