Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Italia Giancarlo Abete amelaani
kauli za kibaguzi zilizotolewa dhidi ya mchezaji Mario Balotelli na
mashabiki wakati timu ya taifa ya nchi hio ikifanya mazoezi.
Abete amesema ” Hii ni tabia isiyokubalika na haitakiwi kutokea kabisa, tutalichukulia hatu suala hili”
Polisi waliingilia ugomvi huo ili kuruhusu mazoezi yaendele ila fahamu hii sio mara ya kwanza Balotelli amekutana na unyama kama huu unaopelekea maudhi kwa wachezaji tofauti duniani.
Super Mario alijiunga na AC Milan kutoka Manchester City kwa ada ya pauni milioni 19 mwaka 2013 na amekuwa akukabiliana na kauli na vitendo vya ubauzi toka alivyo rudi Italia
Mchezaji mwenzake Ciro Immobile alinukuliwa akisema “Huu ni Mwaka 2014 na hatutakiwi kukabiliana na swala la ubaguzi ila tunatakiwa kuwa bora zaidi kama nchi.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!