Toka mwanzo kama wewe nimfatiliaji
mzuri wa msanii huyu alisha wai kuimba kuwa siku moja tu atakuwa
millionaire,sasa ndoto yake nikama imeanza kutimia.
Mwanamuziki anae julikana kwa jina la Bizimana Abubakari Karume alimaarufu kama Sat-b ameweka hadharani kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook ma milioni ya pesa anayo yamiliki ila bila kufafanuwaa kuwa pesa ambazo alizo zitaja takriban milioni 25 za Burundii kama ni zote kapewa na kampuni ambayo imempa dili aulaa.
Habari zakuaminika ambazo mtandao wako wa habari nambari moja wa www.ismailniyonkuru.info ulizo zisaka na mwishowe kuzinasa kutoka kwa mkali huyo wa "Nyandikaa" zinasema kuwaa pesa hizo si zote kapewa na Brarudi ila zimeongezeka kwa zingine alizo kuwa anamilikiii bank.
Kwenye mahojiano yake mwanamuziki huyo na Muheshimiwa Ismail Niyonkuru ya njia ya mtandao Sat-b alifunguka pale alipo muuliza swali lakuwa ni zote kapewa na Brarudi aula alikuwa na zingine?alifunguka akisema hivi.
Bila kuficha wala kwenda mbali kwa mtazamo wa karibu inaonesha kuwa huyu ndo mwanamuziki wa kwanza wa kizazi kipya anae miliki pesa nyingi kuliko wengine.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!