Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , , » KAMA ULIKUWA HAUJAWAI KUYASHUHUDIA MATITI,MAKALIYO YA RIHANNA BASI USIENDE MBALI,HIVI NDIVYO ALIVYO TEMBEA MTUPU KWENYE TUZO ZA MITINDO ZA CFDA

KAMA ULIKUWA HAUJAWAI KUYASHUHUDIA MATITI,MAKALIYO YA RIHANNA BASI USIENDE MBALI,HIVI NDIVYO ALIVYO TEMBEA MTUPU KWENYE TUZO ZA MITINDO ZA CFDA

Written By Unknown on Tuesday, 3 June 2014 | Tuesday, June 03, 2014

Rihanna amewaacha midomo wazi watu wengi baada ya kuonekana amejitoa ufahamu na kuhudhuria tuzo za mitindo (CFDA 2014) zilizofanyika New York akiwa amevalia vazi linalomuacha robotatu nusu mtupu.
Vazi hilo lilionesha wazi kifua chote cha mwimbaji huyo huku ‘maziwa yote’ yakionekana bila wasiwasi huku akifunika sehemu za chini na kimdoli alichokuwa ameshikilia!
Baada ya kuonekana hivyo katika red carpet, Rude Girl RiRi alipanda na kivazi hicho jukwaani wakati anakabidhiwa tuzo na mhariri mkuu wa jarida la vogue, Anna Wintour.
“Growing up fashion was a defense mechanism. As a child I remember saying: she can beat me but she can’t beat my outfit.” Alisema Rihanna wakati anapokea tuzo yake.
Katika hatua nyingine, Solange alihudhuria katika red carpet ya tuzo hizo na hivyo kuwa tukio la kwanza la red carpet tangu video ya ugonvi wake na Jay Z ndani ya lift iwekwe kwenye mtandao.
Huyu ndo Rihanna ukimsikia mwengine feki,wadada zetu wa mjini mnao pendaa kuiga yani ku copy fashion au mitindo basi huu mtindo muukopi kisha tuone wapi mtapita ndo ntawakubali kama nyie wakali wa Fashion.
Ila acha nikusaidi mfano ukikosaa kitambaa halisi kama hicho cha Rihanna kama njia moja wapo yakutaka kupata ako ka gauni,unaweza ukachukuwa Net yani Chandaruwa kwa kirundi wanasema(Umusegetera) unaenda kwa fundi wa kushonaa anakushonea sababu hiyo ya Rihanna na tundu za Chandaruwa hamna tafauti labda rangi ukitaka rangi basi unaiweka kwenye rangi itabadilikaa,ukitaka nacho hicho alicho kibebelea chenye manyowa manyo,wewe usisumbukii chukuwaa na wewe kitu kama mtandio hivo hapo ntakuhesabu kwa parcent 70 umemuigs Rihanna.


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi