Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » MWANAMUZIKI KIDUMU KUTOKA BURUNDI ATARAJIA KUGONGAA BONGE LA SHOW LAKUFA MTU JIJINI BUJUMBURA.

MWANAMUZIKI KIDUMU KUTOKA BURUNDI ATARAJIA KUGONGAA BONGE LA SHOW LAKUFA MTU JIJINI BUJUMBURA.

Written By Unknown on Friday, 13 June 2014 | Friday, June 13, 2014

Kama alivyo jifunga mkandaa na kuziweka fikra zake sehemu moja nakusemaa "Why Burundi tu" nakuamuwa kuachana na kile chote alicho kuwa ameandaa kipindi hicho nakuwaza vile ataanzisha bonge la show litakalo kuwa linakuja kila mwakaa nchini Burundi zaidi ya zile show tunazo zizowea!!!
Namzungumzia mwanamuziki Jean Pierre Nimbona alimaarufu kama Kidumu ambae ni raia wa Burundi mwenye maikazi yake salama huko Nairobi kenya kwa rais Uhuru Kenyata.
Kidumu ndie muanzilishi wa Tamasha hilo la Kila mwaka ambalo mwenyewe kalibatiza jina la "BUJA SUMMER FEST".Fahamu kuwa Kwa mara ya kwanza tamasha hilo lilikuwepo mwanzoni mwanzonii mwa mwaka jana ila alikuja kwa tamasha hilo kwa kichwa chakee pekee ila kwa mwaka huu imekuja tafauti kwa sasa aanatarajia kushuka Bujumbura na Band yake nzima anayo shuhulika nayo kwenye kazi zake za muziki huko Kenya ijulikanayo kama "BODA BODA BAND".


Kama ufunguzi wa tamasha hilo mkali huyo anatarajia kuwepo Bujumbura wiki ijayo na kama alivyo zoweleka kwa warundi huyu jamaa pindi anapo shuka tu nchini Burundi ni lazima huwa anahakikisha anawapa Burudanii toshaa.
Mkali huyo wa "Mungu anaweza" anatarajia kugonga bongee bongee la Vip show mjini Bujumbura kwenye ukumbi wa HAVANA NIGHT CLUB kama uzinduzi wa BUJA SUMMER FEST kwa awamu ya pilii si mbali ni hiyo Jumamosi ya tarehee 21 za mwezi huu wa juni mwaka huuu,nakwambia patachimbikaa si zile bei walizo zizowea warundii hii ni tafauti kabisaa kiingilio ni zile noti za wale waheshimiwa wawilii yani elfu 20 pesa za Burundi ama (20000 fbu).


Tunasemaaa karibu mzee wa sebeneee.................sebeneeee..............................le Poisson a combien de Partie?....................................

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi