Kundi la muziki kutoka Kenya, Sauti Sol lilikutana na Trey Songz
katika utoaji wa tuzo za MTV MAMA, Durban Afrika Kusini na walipokaa nae
walianza kumkaririsha wimbo wao.
Sauti Sol walirekodi kipande cha Video kikimuonesha Mkali huyo wa NaNa akijaribu kurudia maneno ya kiitikio cha wimbo huo wa Kiswahili.
Mcheki huyu hapa Trey Songs
Sauti Sol walirekodi kipande cha Video kikimuonesha Mkali huyo wa NaNa akijaribu kurudia maneno ya kiitikio cha wimbo huo wa Kiswahili.
Mcheki huyu hapa Trey Songs
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!