Bado kauli ya "Sio kweli" inaendelea midomoni mwa watu,hasa ikiwalenga wale wakali wawili wa Trace Urban ambao ni Happy Famba ama Mkali wa Show ama pia Show Man na yule Hit meka wa "Touch me" ambae ni Ramadhani Kiza alimaarufu kama Dj Pro.
Ila hayo yote kuna wanao ponda na kuna wanao sema nikweli na wangine hata kuongea wao hadharani kwenye media kuwa walijionea wao peke na macho yao hizo video zikirukaa kwenye Trace Urban.
Pia wengine wakisema kuwa na tatizo la umeme nchini Burundi linachangia watu kutokuona tena Tv hata kulipia vingangamuzi vyao kwa kuwaa kumekuwa na uhaba mkubwa wa umeme ambao wao wanaona haina umuhimu kulipia kingangamuzi cha laki nzima ambacho huna umeme wakutizama tv na ndo kwa maana wengine walidai hawakuziona hizo video.
Mkali wa Show ameamuwaa kufanya makuu kwa kuwakutanisha ma fans na watu maarufu ambao wanawasikiaga ila hawajawai kukutana nao wala kuwaona.
Moja ya makubwa ambayo yamepangwa siku hiyo inasemekana mwanasoka bora wa Ligi kuu ya soka Burundi ambae ni Claude alimaarufu kama Lambalamba amealikwa kama mgeni kwenye show hiyo.
Kumepangwaa makubwa kwenye show hiyo ambapo shabiki na asie shabiki n yule yote ambae atakuja na Box ya Gift ama Cadeaux kwa lugha ya Kifaransa bila kujali ndani kuna ninii wala ninii basi mtu huyo hatolipishwa mlangonii.
Fahamu kuwa Usiku huyo wa One Show,One Man na One Video...utapambwa na Dj Pat kutoka pande za Ulayaa.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!