Ikiwa
ni siku chache baada ya kutangaza kuelekea huko Kampala Ugandaa
kukamilishaa kolabo yake na Mwanamuziki tajiri wa Afrika mashariki
mmiliki wa Label ya muziki ya Leon Island ambae ni Joseph Mayanjaa
alimaarufu kama Jose Chameleon.
Niyonzima
Nassor Salum ama Lizzo.com aliwashangaza wengi warundi baada
yakushtukizia warundi kwa kuwatangazia habari hiyo yakufanya kazi na
mkalii huyo wa Badilishaa.
Kwa
kuwa alikuwa alitangaza baada ya wiki mbili angepashwa kuwa amefika
huko Uganda lakinii zimetimia sasa wiki hizo akisalisaliya nchini
Burundii.
Habari
ambazo zimetanda ni kuwaa mkali huyu wa Nkarira ambae ni rafiki wa
mwanamuziki Diamond wa Tanzania amepewa sumu,inasemekana mwanamuziki
huyu alilazwa wiki mbili ndani huku hajui cha kutoka wala chakuingia.
Jumamosi
usiku kwenye kipindi cha Saturday Express anacho kiongoza mwanahabari
Muheshimiwa Ismail Niyonkuru aliweza kutangaza habari hiyo kwa mara ya
kwanza,na ikaja kuwa mshtuko kwa wengi kwa sababu ilikuwaa haijafahamika
kuwa mkali huyu amepewa sumu.
Hii
leo mapema asubuhii kwenye kipindi cha Changamka show with Ismail
Niyonkuru aliweza kumsaka mkali huyo kwa njia ya simu ili kutowa
ufafanuzi kuhusiana na vile alivyo pewa sumu hiyo.
Lizzo.com
aliweza kumshukuru Mungu saana nakusema wabaya walimuwekea sumu ila
Mungu bado alikuwa pamoja nae,nakuongeza kuwa yeye hajamjuwa mbaya wake
aliye mfanyia ila chenye watu wajue nikuwa alipewa sumu na hajajuwa
alipewa kwa njia gani.
Mwanahabari
Muheshimiwa Ismail Niyonkuru aliweza kumuhoji kuhusiana na ile kolabo
yake yeye na Jose Chameleone,Lizzo alisema kuwa alishapewa habari kuwa
Chameleone hivi karibuni anatarajia kutuwa hapa nchini sasa ikawa
wamesha panga kuwa kazi yao wata imalizia nchini Burundi badala ya yeye
kwenda kule Kampala.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!