Rolf alikuwa amejipanga kufanya onesho la sarakasi na kikundi chake
nchini humo ambapo huonesha michezo mbalimbali ikiwa ni pamoja na
‘kumeza mapanga’.
Ameieleza Association Press kuwa maafisa wa uhamiaji walikuwa tayari
wameshaweka stamp kwenye Passport yake na kumruhusu kuingia lakini
alizuiwa baadae kabla hajavuka eneo hilo.
Club aliyokuwa amepanga kufanyia onesho hilo imeeleza kuwa, ilitumiwa
barua pepe inayoeleza kuwa uongozi wa Uwanja wa ndege ulitaja ‘sababu
za usalama’ kuwa chanzo cha katazo hilo.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!